Malihas Arbeitsvertrag

Makubaliano ya kazi

1. Mwajiri ndiye anaye amua mshahara wa wafanyakazi. Mshahara wategemea juhudi na tabia za wafanyakazi

2. Mfanyakazi awetayari kufanya kazi muda zaidi.

3. Wafanyakazi wanasimamiwa wakati wa kufanya kazi.

4. Hakuna mapumziko. Hata kwa wanawake wajawazito.

5. Kwa ajiri ya ajali kazini mwajiriwa. Hapati malipo.

6. Mwajiriwa anafaa ajinunuliye nguo lasmi ya kazi.

7. Chama cha wafanyakazihakirahusiwi. Wafanyakazi yeyote anayeanzisha ama kuunga mkono chama kama hicho anaachishwa.    

Sahihi: ...........................................

Der Chef der Textilfabrik bittet dich, den Vertrag sofort zu unterschreiben. Was würdest du in dieser Situation tun? Mit einem Klick kannst du auswählen:

Stand: 11/2008

Jetzt bookmarken:
addthis.combackflipblinklistblogmarksco.mmentsconnoteadel.icio.usFolkdFurlgoogle.comLinkaARENAlive.comMa.gnoliaMister WongoneviewRawSugarWebnewsYahooMyWebYiggIt